Monday, September 8, 2008

Spika Sitta apata
Ugeni..
Spika wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samuel Sitta(Kushoto) akisalimiana na Finn Vallersnes wa Muungano wa Mabunge Duniani alipomtembelea katika Ofisi za Bunge jijini Dar es Salaam jumatatu.Picha na Mdau Athumani Hamisi

No comments: