Bomoa Bomoa Magomeni...




Bomoa bomoa hiyo ilitokea juzi majira ya saa 9.00 alasiri baada ya uvamizi huo kutokea kusambaratisha nyumba na vitu vyote vilivyokuwemo ndani.
Pichani juu ni baadhi ya wanafamilia hao wakilia kwa uchungu baada ya kuona nyumba yao ikisambaratishwa vibaya sana na vitu vyao vyote vya ndani vikiwemo...picha kwa hisani ya mzee wa mshitu.
No comments:
Post a Comment