Tuesday, September 16, 2008

tanzania iko juu


Pichani ni Walimbwende wa miss utalii walipokwenda kutembelea hifadhi ya taifa ya milima ya Udzungwa na vivutio vyake hivi karibuni,Tanzania yapendeza jamani,ni huu ufisadi tu !

Maporomoko ya maji ya huko milima ya Udzungwa




Bongo yetu ina mambo mengi ya kujisifia yakiwemo mazingira kama haya ya uoto wa asili ,lakini mmh kalaghabao kila siku tunaambiwa nchi yetu sijui ya ngapi huko kwa unanihii! Picha hizi nimetumiwa na mdau aliyekuwa ziarani na walimbwende wa Mis Utalii katika hifadhi ya taifa milima Udzungwa

No comments: