Monday, September 15, 2008

Hiii Hatari Tupu..

Mwendesha pikipiki akiwa amepakia mwanamke na mtoto bila ya kuwapatia na kofia za usalama kama walivyokutwa Tabata Relini Dar es Salaam jana, jambo ni hatari kwa abiria hao endapo patatokea tatizo la ajali. Picha na Mdau Emmanuel Herman

No comments: