Wednesday, September 17, 2008

Msanii Tina Kushuka Bongo Hivi
Karibu Kuwashika....
Na abdallah Mrisho Salawi.
Anaitwa Tina Godwin Ndonde,Msanii wa Bongo flava ambaye kwa sasa yuko masomoni nchini Afrika Kusini na punde atarejea Bongo kuja kuwashika akina besta na wenzake.Pichani alikuwa katika mishe zake za video shooting...Full Kujiachia wangapi mnakipata kifaa hiki?

No comments: