MAUAJI YA MUHIMBILI
David Denge ambaye anadaiwa kuua wagonjwa wenzake wodini muhimbili Agosti 11 mwaka huu. Mimi nilifikiri ni bonge la mtu kumbe wala!?Askari akimwongoza David kutoka mahakama ya Ilala jana asubuhi alipofikishwa kusikiliza shauri lake la kuua watu wawili na kujeruhi vibaya wengine watano. Kajamaa kapole kichizi huwezi kudhania!
No comments:
Post a Comment