Monday, September 22, 2008

kwikwi ya mtandao mpanda
Mmoja wa maafisa walioko kwenye msafara wa Waziri Mkuu, Bw. Hamisi Kamundu akijaribu kupiga simu kwenye eneo pekee ambalo mtandao wa nanihii unapatikana katika kijiji cha Mapili wilayani Mpanda kama maandishi ya nyuma yake yanavyoonyesha. picha na mdau Irene Bwire mwandishi msaidizi wa waziri mkuu

No comments: