Baraza Kuu la Bakwata
lakutana Dodoma...

Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Issa Shaban Simba(Kushoto)na Makamu Mufti Suleiman Gorogozi wakijadili jambo kwenye kikao cha baraza kuu la Bakwata kilichofanyika jana Mjini Dodoma.Picha na Mdau Jube Tranquilino

Wajumbe mbalimbali wa Baraza Kuu la Bakwata wakisoma Dua Muda mfupi kabla ya Ufunguzi wa kikao kikuu cha Baraza hilo Mjini Dodoma Jana
No comments:
Post a Comment