Wednesday, September 17, 2008

Tanzania Kuadhimisha Siku Ya
Michezo Duniani..

Naibu Waziri wa Habari,Michezo na Utamaduni(Katika)Mheshimiwa Joel Bendera akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu siku ya maadhimisho ya michezo Dunia ambapo nchini Tanzania itafanyika kwenye septemba 22 kwenye viwanja vya mnazi mmoja,Mheshimiwa Bendera amesema kuwa lengo la siku ya michezo Tanzania ni kuwakumbusha Watanzania umuhimu wa kutumia michezo kama chombo cha kuleta maendeleo na amani.Pichani kulia ni Mkurugenzi wa maendeleo ya Michezo Bi Rachel Massamu na Kushoto ni Katibu Mkuu Baraza la Michezo Tanzania Bw Reonald Thadeous.

No comments: