Wednesday, September 17, 2008

Wafanyabiashara wa Japan
Watua Nchini..

Ujumbe wa watu 37 ambao ni wafanyabiashara kutoka Japan uliwasili nchini leo na kupokewa na kaimu katibu Mkuu wizara ya mambo ya nchi za nje na ushirikiano wa kimataifa Balozi Charles Sanga .Pichani baadhi ya ujumbe huo ukiondoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.Picha na Assah Mwambene wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje.

No comments: