Wednesday, September 17, 2008

Zain Staff Iftar


Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Zain Kanda ya Afrika Mashariki, Bashar Arafeh (kushoto) akisalimiana na Meneja Masoko wa Zain Tanzania, Kelvin Twisa wakati wa hafla ya kufuturu iliyoandaliwa na Zain kwa wafanyakazi wake, jijin Dar hivi karibuni
Baadhi ya viongozi wa ngazi ya juu wa Zain Tanzania, wakipata chakula wakati wa hafla ya kufuturu iliyoandaliwa na Zain kwa wafanyakazi wake, Dar es Salaam hivi karibuni.


Baadhi ya wafanyakazi wa Zain Tanzania, wakipata chakula na mhudumu wakati wa hafla ya kufuturu iliyoandaliwa na Zain kwa wafanyakazi wake, jijini Dar hivi karibuni.



Ofisa Mkuu wa Fedha wa Zain Tanzania, Heiko Schlittke (kulia) akipatiwa chakula na mhudumu wakati wa hafla ya kufuturu iliyoandaliwa na Zain kwa wafanyakazi wake, jijini Dar hivi karibuni

No comments: