Mdau Athumani Hamisi ambaye pia ni Mpigapicha kiongozi wa gazeti la Habari Leo akiwa Hospitali ya Muhimbili alikolazwa baada ya ajali aliyoipata maeneo ya kibiti .
Mwandishi wa Mwananchi, Boniface Meena, akimjulia hali mshikaji. Ingawa wataalamu wa utabibu wanasema anaendelea vyema lakini kwa jicho la kawaida ndugu yetu anateseka sana!
No comments:
Post a Comment