Wednesday, September 17, 2008

Vodacom Yatoa Msaada Kwa Watoto
wa Madrasa Za Tanga...
Mwamvita Makamba akikabidhi sehemu ya zawadi kwa Meya wa Tanga,Mh. Salim Khamis Kisauji (kushoto)
Picha ya pamoja baada ya makabidhiano ya zawadi kwa watoto wa madrasa za Tanga: Kutoka Kulia:Yessaya Mwakifulefule -Afisa habari wa Vodacom Foundation,Bi Mwamvita Makamba - Mkuu wa Mahusiano na Huduma kwa Jamii wa Vodacom (T) Ltd,Mstahiki Meya wa Tanga Mh. Salim Khamis Kisauji,Mkuu wa Maawal Sheikh Mohamed Hariri na viongozi wa Maawal na baadhi ya watoto wa madrasa wakiwa na hijab walizopewa na Vodacom Foundation.Vodacom Foundation kama chombo kikuu cha kutimiza majukumu ya kijamii ya kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania inawatakia watanzania wote Kila la kheri katika mfungo huu wa Ramadhan

No comments: