Tuesday, September 23, 2008

dar yazidi kuwa tambarare
juu ni barabara ya mandela rodi kutokea ubungo hadi bandarini, na chini ni barabara ya nyerere (zamani pugu) rodi kutokea mjini kwenda uwanja wa ndege wa eapoti. ya juu inakwanguliwa lami yote na kuwekwa mpya pamoja na mitaro ya maji ya mvua pamoja na njia ya huduma. ya chini nayo inawekwa mkeka mpya. ila sijui kama watakumbuka kuweka rangi na alama za barabarani, maana kwenda eapoti usiku noma kweli. si ajabu mtu kukwaa msingi

No comments: