Saturday, September 20, 2008

Mwanafunzi wa Darasa
la Sita...
Pichani ni Mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya Msingi Gilman Rutihinda,Noel William aking’arisha viatu vyake jumatatu wakati wa mapumziko shuleni hapo.Picha na Mdau Victor Berege

No comments: