JK amfariji mpiganaji athumani hamisi muhimbili





hali ya mgonjwa inaendelea vizuri ingawa anahitaji matibabu zaidi nje ya nchi. habari zimeingia sasa hivi zinasema serikali imeamua kumpeleka akatibiwe nje na taratibu zote zimetimia. huenda akasarirshwa kesho ama keshokutwa, ila nchi atayokwenda itajulikana kesho. athumani amejeruhiwa mfupa wa mgongo na shingoni
tunamuombea mpiganaji mwenzetu nafuu ya haraka
No comments:
Post a Comment