Friday, September 19, 2008

MSIBA MBEYA

Ndugu wapendwa,
Tuna masikitiko ya kuondokewa na mpedwa wetu Grace Lupeke aliekuwa akisomea TEKU B.A with Education alietutoka tarehe 10-9-2008 na tumai mlie soma nae Teku, Pandahili,Swila, na Iyunga primary mtakuwa mnamjua.
Bwana ametowa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

Amen.

No comments: