Wednesday, September 24, 2008

Raila Odinga Awasili Bongo!


W

Waziri mkuu wa Kenya Mh.Raila Odinga Awasili Bongo kwa ziara ya kiserikali pamoja na ujumbe wake ambapo alikutana na Waziri Mkuu Wa Tanzania Mh.Mizengo Pinda katika ofisi za Waziri Mkuu Dar es sallam....Picha kwa Hasani Ya Mzee Wa Mshitu

No comments: