Tuesday, September 23, 2008

Shinda Benzi Kwa Shilingi Mia Nne Tu!

Hilo ndio gari lililotolewa na Kampuni ya Global Publishers likiwa ni zawadi ya kwanza ya wasomaji wa magazeti ya Uwazi, Ijumaa Wikienda, Risasi, Championi, Amani na Ijumaa, kuponi za kushiriki zipo ukurasa wa pili wa magazeti hayo.

No comments: