Thursday, September 25, 2008

libeneke la mabenzi


aghalabu magari ya aina ya benzi hupendelewa sana katika sherehe kama za harusi na kadhalika. je wadau kuna anayeweza kutueleza sababu?
Shukrani kwa Michuzi !!

No comments: