Tuesday, September 16, 2008

ikulu ya kwanza tanganyika


Pichani ni Ikulu ya kwanza kujengwa hapa Tanganyika na kutumiwa na Wajerumani,jengo hili ambalo wao waliliita BOMA lilijengwa mnamo mwaka 1897.Liko ndani ya mji wa kihistoria wa Bagamoyo nje kidogo ya jiji la dar

No comments: