Wednesday, September 17, 2008

PPF yadhamini Mashindano
Ya Mchezo wa Bao
Waziri Mkuu mstaafu na mlezi wa michezo ya jadi Nchini Mzee Rashidi Kawawa(Kulia)akipokea vikombe kutoka kwa Ofisa Uhusiano wa mfuko wa Akiba kwa Mashirika ya Umma(PPF),Sarah Kibonde katijka hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.Vikombe hivyo vitashindaniwa katika mchezo wa bao utakaoshirikisha wilaya za mkoa Dar es Salaam.Picha na Mdau Yusuf Badi

No comments: