Saturday, September 20, 2008

dr. salim kuunguruma los angeles septemba 24
Mambo vipi kadidi,
Nilitaka tuu kukuinform kwamba msuluhishi wa Umoja wa Mataifa wa Mgogoro wa Darfur Mhe. Dr. Salim Ahmed Salim atakuwa the key speaker kwenye 2008 Global Peace Leadership Summit.
Tafadhali weka kwenye blog yetu ya jamii ili yeyote atakayeweza kuhudhuria asikose. Na website ndo hiyo hapo:
Pia kwa Watanzania wote wa hapa Los Angeles tunaajiaanda kukutana nae tarehe 24 Sept saa 7pm kuangalia uwezekano wa kuwa na another Tanzanian Embassy in the West coast. na pia mambo mengine ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.
peace, na Mfungo mwema!!
Mdau Mike

No comments: