Rais Kikwete kuanza Ziara ya Kikazi ya
Siku 6 Mkoani Mbeya..
Siku 6 Mkoani Mbeya..
----------
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku 6 mkoani MANYARA kuanzia Kesho Septemba 12.Mkuu wa mkoa wa MANYARA BW.HENRY SHEKIFU amewambia waandishi wa Habari Mjini BABATI kuwa akiwa mkoani Manyara,Rais JAKAYA KIWETE,atakagua shughuli mbalimbali za maendeleo ya jamii na kuweka mawe ya msingi au kuzindua miradi kadhaa ya kiuchumi na kijamii.BW. SHEKIFU amesema Rais ataanzia ziara yake katika wilaya ya Simanjiro ambako atazindua na kuweka mawe ya msingi miradi kadhaa ikiwemo mradi mkubwa wa kilimo cha umwagiliaji maji wa LEMKUNA.Amesema mbali na kutembelea na kukagua miradi hiyo iliyoko katika sekta za kilimo,afya,maji na barabara,Rais kikwete pia atazungumza na wananchi katika wilaya zote tano za SIMANJIRO, KITETO,BABATI,HANANG na WILAYA YA MBULU ambako atafanya majumuisho ya ziara yake Septemba 17 mwaka huu.

Bw.SHEKIFU ametoa wito kwa wananchi wa mkoa wa Manyara kujitokeza kwa wingi kumpokea na kumsikiliza Rais Kikwete kwenye maeneo atakayo pita na yale aliyopangiwa kuzungumza na wananchi kwenye mikutano ya hadhara.
No comments:
Post a Comment