Wednesday, September 17, 2008

Rais wa Ghana atinga Ikulu ya
Marekani

Rais wa Ghana John Kufuor wa Pili Kulia,akiwa kwenye balcony ya Ikulu ya Marekani The White House baada ya kuwasili nchini humo kwa Mwaliko Maalum wa Rais wa Marekani George Bush,Kushoto kabisa ni Mke wa Rais Bush Laura Bush na wa Pili Kushoto ni Mke wa Rais wa Ghana Theresa Mensah.
Rais wa Ghana John Kufuor(Kushoto)akigonganisha glass na Rais wa Marekani George Bush Kwenye State dinner iliyoandaliwa na Rais Bush kwenye ikulu ya Marekani White House Jana.
United States Secretary of State Bi Condoleezza Rice akiwasili kwenye State Dinner Ikulu ya Marekani iliyoandaliwa na Rais Bush Maalum kabisa kwa Rais wa Ghana John Kufuor jana
Rais George Bush wa Marekani akimkaribisha Rais wa Ghana John Kufuor kwenye chakula cha jioni alichomwandalia (Rais wa ghana) kwenye Ikulu ya Marekani The White House Jana.Hivi karibuni Mwenyekiti wa Umoja wa Africa(AU)Rais Jakaya Kikwete alikuwepo nchini Marekani baada ya Kupata Mwaliko Rasmi kutoka kwa Rais wa Marekani George Bush Picha na Chip Somodevilla.

No comments: