Saturday, September 20, 2008

ujio wa mabasi makubwa katikati ya jiji


Moja ya basi kubwa la abiria linalofanya safari zake kati ya Tegeta na Kariakoo,linavyoonekana leo mchana maeneo ya Mbezi beach.Basi hilo hutoza nauli kiasi cha shilingi 500 kwa kila kichwa.Mabasi makubwa ni moja ya mradi wa Manispaa ya jiji ambao unatarajiwa kuanza rasmi hivi karibuni baada ya mipango yote kukamilika na vipanya kuondolewa kabisa katikati ya jiji,Baadhi ya watu wanaukubali ujio wa mabasi haya makubwa kwani wanaamini yatasaidia kuepukana na shida ya usafiri hapa jijini Dar

No comments: