Tuesday, September 23, 2008

usalama barabarani muhimu


Mhh askari wa usalama barabarani naona wamecharuka sasa,hii imetokea leo mapema asubuhi maeneo ya moroco,jijini Dar.Waliposimamisha daladala hiyo pichani yenye safari zake Posta Kawe na kubaini kuwa ni mbovu,hivyo kutokana na mamlaka walio nayo askari wa usalama barabarani,abiria wote waliombwa kushuka ndani ya gari hiyo,baada hapo wadau sikujua kinachofuata kwani nilikamata mchuma huyoo zangu kibaruani.

No comments: