Tuesday, September 23, 2008

futari ya voda zenji
vijana wa madrasa wakifuturu unguja wasichana wa madrasa wakifuturu unguja
Bi Mwamvita Makamba Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Huduma kwa Jamii cha Vodacom Foundation akiwa na watoto baada ya Futari Unguja.
Mh. Fatma Maghimbi mbunge wa ChakeChake Pemba-Zanzibar akitoa shukurani baada ya futari na makabidhiano ya zawadi kutoka Vodacom Foundation kwenda kwa watoto wa madrasa wa Pemba 1,000.

No comments: