Saturday, September 20, 2008

ze nanihii wampongeza ambasadaa wa zain
kundi zima la ze nanihii likiwa na mh. balozi wa zain walipokwenda kumpongeza kwa shavu hilo pamoja na kumwambia awapashe wadau kwamba wakae chonjo kwani wanarudi kwa kishindo muda si mrefu ujao kupitia TBC1 na kwamba wanakuja na mambo mapyaaaaaaaaaaaaaa...

No comments: