Tuesday, September 9, 2008

Rudisha chenji Bwana..
Abiria waliokuwa wamepanda kwenye daladala aina ya Hiace,linalofanya safari zake kati ya Ubungo na Tabata jijini Dar es Salaam kulia na kushoto),wakimkwida kondakta wa dala dala hilo kutokana na kutokukubaliana naye kuhusu nauli baada ya kushuka katika kituo cha Tabata Relini jana.Picha na Mdau Kassim Mbarouk

No comments: