Tuesday, September 9, 2008

Zain Yakabidhi Kalenda Ya Mwezi
Mtukufu Bakwata...
Kaimu Mufti wa Tanzania,Shekhe Suleiman Gorogosi akipokea kalenda inayoonyesha ratiba ya muda wa kufunga na kufuturu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutoka kwa Meneja Masoko wa Zain Tanzania,Kelvin Twisa,vilivyotolewa na Kampuni ya Zain kwa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania(BAKWATA),jijni Dar hivi karibuni. Kalenda hizo zitasambazwa misikiti yote Tanzania.

No comments: