mr blu arejea toka ughaibuni
supa staa mr blu leo amerejea bongo baada ya ziara yake ya maonesho ya majuma kadhaa ughaibuni. ameiambia globu hii ya jamii katika uwanja wa ndege wa julius nyerere kwamba mambo yalikuwa mswano katika shoo zake zote huko uingereza, na ametoa shukrani sana kwa wadau wote waliohudhuria shoo zake. amesema ameridhishwa na ushirikiano aliopata toka kwa waandaaji na pia mashabiki wa muziki wa bongo fleva wote
No comments:
Post a Comment