Tuesday, September 9, 2008

Joshua Mshindi wa Mashindano
Ya golf Lugalo..
Mshindi wa jumla wa mashindano ya golf ya Mkuu wa Majeshi,Joshua Amoni wa klabu ya Lugalo akibusu kombe baada ya kukabidhiwa katika hafla ya utoaji zawadi kwenye klabu ya gofu ya TPDF Lugalo,Dar es Salaam juzi.Mashindano hayo yalidhaminiwa na Zain.Picha na Zain

No comments: