Flaviana Matata atua Nchini
Japan...
Flaviana Matata akiwasili nchini Japan Terminal one North Wing. EXIT 9

Akiwa na Mmoja ya Mabosi wa Junes Modeling Agency,Japan-----------
Miss Universe Tanzania 2007 Flaviana Matata ametua nchini japan kwa mwaliko Rasmi wa Kampuni kubwa ya kuuza magari ya Wilna International akitokea nchini South Africa ambako anafanya kazi za ulimbwende.,kimwana Flaviana matata yupo hapa Japan kwa mazoezi kabla ya kusaini Mkataba wa nguvu na kampuni ya Kimataifa ya Junes Modeling Agency iliyoko Ropongi Nishi Azabu.
No comments:
Post a Comment