Friday, March 14, 2008

Wanafanya nini kwa sasa hawa wasanii wetu !


Haya Dully huyo ila yuko kimya sana !

Raha p mbona na wewe kimya !!!

Haya prezzo pia uko kimya unatutisha sana wapenzi wako !!

No comments: