Kwa wasomaji wa blog hii ambao walionyeshwa kukerwa na kitendo cha kondakta wa daladala mjini Dodoma cha kumyanyasa Msichana ambaye ni mwanafunzi wa shule ya secondary Msalato napenda kuwajulisha kuwa kondakta yule amekamatwa na polisi kwa mujibu wa mdau bukuku aliyetwanga picha zile akiwa mjini Dodoma hivi karibunikwa habari zaidi baadae......
*kwa wadau wasiojua waangalie picha zilizopita chini ataona *
No comments:
Post a Comment