Thursday, March 27, 2008

" Jamani Niliuliza Tu, Kulikoni Refa?"


Javier Mascherano wa Liverpool alichemsha. Kwa mchezaji mzoefu kama yeye hakutakiwa kufanya kama alivyofanya. Kitendo cha kugomea kutoka uwanjani kitamgharimu adhabu zaidi kutoka FA, na aisubiri.

No comments: