Tuesday, March 25, 2008

Haya watoto wa Mitaani wakiwa wamepumzika !!!


Haya hivi hizi lawama apewe nani kuhusu hawa watoto wa mitaani maana naona kila siku wanaongezeka au ndio zile imani kuwa kila mtoto na riziki yake hapa duniani ?

No comments: