Friday, March 14, 2008

Hivi Mpaka Mgomo !!



Abiria wa gari moshi la kwenda bara lililokwama Dodoma baada ya wafanyakazi wa kampuni ya Reli Tanzania kugoma wakiondoka jana baaada ya mgomo huo kusitishwa.

No comments: