Monday, March 24, 2008

Familia imeongezeka !!!


Mkunga mkuu wa hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk Massawe akiwapa usia wamama watatu wambao familia zao jana zilikua ghafla, wakati Ashura Athumani(kulia) alipojifungua watoto wanne, na wenzake Asha Idd(Kushoto) na Stamili Ali walijipatia watoto watatu kila mmoja!
Familia zimekua kiukweli, ..na ukata huu wa Bongo, ..sijui...

No comments: