Friday, March 28, 2008

Wajumbe wawasili Butiama..


Wajumbe wapatao 22 kutoka chama tawala Tanzania( CCM) wakiweka mataji ya maua katika kaburi la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, nyumbani kwake Mwitongo, Butiama jana kabla ya kuanza mkutano mkuu wa NEC unaotarajiwa kufanyika kwa siku mbili kuanzia kesho kesho chini ya mwenyewekiti wake Rais Jakaya Kikwete..picha kwa msaadawa mpoki Bukuku.

No comments: