Saturday, March 29, 2008

Waasisi....


Pichani watoto wa viongozi waasisi wa Tanzania kutoka kushoto ni Rais Amani Karume wa zanzibar ,Mtoto wa mwanasiasa mkongwe nchini(simba wa vita) mzee Rashid Kawawa Bi Zainabu Kawawa na Makongoro Nyerere mtoto wa Rais wa kwanza na Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere wakitambulishwa rasmi mjini musoma,Butiama jana..

No comments: