Wanamuziki kutoka nchini Jamaica Brick & Lace wakifanya vitu vyao ambao usiku wa jana ndio walikuwa wageni rasmi kwenye mashindano la Bongo Star Search lilofanyika usiku wa jana ndani ya ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam ambapo Misojo Mkwabi aliibuka mshindi wa shindano hilo kwa mwaka 2008.
No comments:
Post a Comment