Barabara za mji wa Iringa zimeanza kuwekwa taa ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mei Mosi zitakazofanyika kitaifa hapa Iringa na ujio wa Mh. Rais Jakaya Kikwete sambamba na sherehe hizo. Pichani fundi wa TANESCO akifunga taa ya barabarani juzi mchana.
No comments:
Post a Comment