Monday, March 31, 2008

Tamwa..


Mke wa Rais Salma Kikwete, akikata utepe kufungua rasmi jengo la Makao Makuu ya Chama Cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) lililoko Sinza Mori Jjijini Dar es Salaam jana.Uzinduzi wa jengo hilo ni sehemu ya maadhimisho ya miaka ishirini ya TAMWA

No comments: