Tuesday, March 18, 2008

MASECOND LADIES


Jamani haya maisha yana mambo! cheki hapa mama Regina Lowassa alikuwa anapata mapokezi mazuri na alikuwa na smile la nguvu kabla soo haijamkuta mumewe na kujiuzuru Uwaziri Mkuu.Alielekea kuwa festi ledi.Hujafa hujaumbika!!!!

Lakini sasa shavu limehamia kwa Tunu Mizengo Pinda yaani kufa kufaana cheki mama anavyochekelea heshima kubwa anayopata, mpaka vibibi vinamfia!!!!!! mla, mla leo..........

No comments: