Friday, March 14, 2008

Jua kali Athamini mchango wa Jk !

Juakali katika pozi !!

Juakali akifikiria mistari ya song la JK !

Haya wahenga wanalonga akufahae kwa Dhiki ndio rafiki wa kweli na hayo yametokea kwa wakenya kutokana na upatanishi wa Kibaki na Odimga ambao ulifanywa na prezida wetu JK. Machafuko hayo yamesababisha mauaji ya watu zaidi ya 1200 na kuwaacha raia wakenya wakiwa wakimbizi na wengine kupoteza mali zao. Sasa Jua kali Mzee wa Kwaheri au Kingasti anatarajia kuutambulisha wimbo wa Jk kwa mara ya kwanza katika ujio wa albamu ya Karata Dume ya King Sele Kule mji kasoro Bahari (Morogoro).

No comments: