Friday, March 14, 2008

Ujio Wa Karata Dume na King Sele !!


king Sele Akiwa na Familia ya ke bila kumsahau mwanae Tunda !

Akiwa katika pozi na mawazo tele kuhusu ujio wa album yake.

Haya haya hayawi hayawi sasa yamekuwa kwa habari zilizo chini ya kapeti nasikia pasaka hii ndio ule uzinduzi wa album ya karata Dume ya king Sele utafanyika kutakuwa na wasanii kibao toka kenya na uganda na zaidi kutakuwa na song jipya litakalo letwa na Jua kali liitwalo JK kazi ipo jamani msikose maana itakuwa show yanguvu ambayo haijawai kutokea na wala haitotokea !!

No comments: