Monday, March 31, 2008

KIAPO CHA WAZIRI Wetu John !!


MIMI JOHN LAGER MAGUFULI, NAAHIDI KUTOIRICHMOND NCHI YANGU NA KWAMBA NITAMWAKYEMBE MTU YEYOTE ATAYEIBALALI NCHI YANGU.

NITAJIEPUSHA NA UNGOYAYI, UKARAMAGI, AU USABAHA WA AINA YEYOTE NA KWAMBA WAKATI WOTE NITAWALINDA WOTE WANAOISLAA, AU KUIZITO NA KUIKILANGO NCHI YETU.

EWE MWENYEZI MUNGU NIBARIKI.

No comments: