Tuesday, March 25, 2008

kci & jojo wa kikagua pale Moven pick Juzi !!


cedric Hailey (mwenye pama) akiwa na bodigadi, wapiga picha na mmoja wa maafisa wa kundi la kci & jojo katika ukumbi wa moevenpick ambako walitumbuiza na kufanya makamuzi ya kufa mtu

wahandisi wa sauti wakiongozwa na kepy kiombile wa njenje wakirekebisha mambo

klynn akijaribu sauti. yeye ni mmoja wa wanamuziki walio kuwa katika hiyo shoo wakitumbuiza na kci & jojo hoteli ya moevenpick

ukumbi ambapo kci & jojo walitumbuiza usiku huo hoteli ya moevenpick.

No comments: